Hagai 2:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Fedha ni mali yangu, na dhahabu ni mali yangu, asema BWANA wa majeshi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Fedha na dhahabu yote duniani ni mali yangu. Biblia Habari Njema - BHND Fedha na dhahabu yote duniani ni mali yangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Fedha na dhahabu yote duniani ni mali yangu. Neno: Bibilia Takatifu ‘Fedha ni mali yangu na dhahabu ni mali yangu,’ asema Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni. Neno: Maandiko Matakatifu ‘Fedha ni mali yangu na dhahabu ni mali yangu,’ asema bwana Mwenye Nguvu Zote. BIBLIA KISWAHILI Fedha ni mali yangu, na dhahabu ni mali yangu, asema BWANA wa majeshi. |
Utukufu wa Lebanoni utakujia wewe, Mberoshi na mtidhari na mteashuri pamoja; Ili kupapamba mahali pangu patakatifu, Nami nitapatukuza mahali pa miguu yangu.
Badala ya shaba nitaleta dhahabu, Na badala; ya chuma nitaleta fedha, Na badala ya mti, shaba, Na badala ya mawe, chuma; Tena nitaifanya amani kuwa kama msimamizi wako, Na haki kuwa kiongozi wako.