Habakuki 1:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Atawatoa walio katika wavu wake, asiache kuwaua watu wa mataifa daima? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Je, hawataacha kamwe kuvuta upinde wao? Je, wataendelea tu kuwanasa watu, na kuyaangamiza mataifa bila huruma? Biblia Habari Njema - BHND “Je, hawataacha kamwe kuvuta upinde wao? Je, wataendelea tu kuwanasa watu, na kuyaangamiza mataifa bila huruma? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Je, hawataacha kamwe kuvuta upinde wao? Je, wataendelea tu kuwanasa watu, na kuyaangamiza mataifa bila huruma? Neno: Bibilia Takatifu Je, aendelee kuwatoa walio katika wavu wake, akiangamiza mataifa bila huruma? Neno: Maandiko Matakatifu Je, aendelee kuwatoa walio katika wavu wake, akiangamiza mataifa bila huruma? BIBLIA KISWAHILI Je! Atawatoa walio katika wavu wake, asiache kuwaua watu wa mataifa daima? |
Yeye aliyewapiga mataifa kwa ghadhabu, Kwa mapigo yasiyokoma; Aliyewatawala mataifa kwa hasira, Ameadhibiwa asizuie mtu.
Na wavuvi wataugua, na wote wavuao kwa ndoana watahuzunika, nao watandao jarife juu ya maji watazimia.
Kwa maana udhalimu uliotendwa juu ya Lebanoni utakufunikiza, na kuangamizwa kwao wanyama kutakutia hofu; kwa sababu ya damu ya watu, na kwa sababu ya udhalimu iliotendwa nchi hii, na mji huu, na watu wote wanaokaa ndani yake.