Wazawa wa Pahath-Moabu, wazawa wa Yeshua na Yoabu, elfu mbili mia nane na kumi na wawili.
Ezra 8:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wa wana wa Yoabu, Obadia, mwana wa Yehieli; na pamoja naye wanaume mia mbili na kumi na wanane. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Obadia, mwana wa Yehieli, wa ukoo wa Yoabu, pamoja na wanaume 218. Biblia Habari Njema - BHND Obadia, mwana wa Yehieli, wa ukoo wa Yoabu, pamoja na wanaume 218. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Obadia, mwana wa Yehieli, wa ukoo wa Yoabu, pamoja na wanaume 218. Neno: Bibilia Takatifu wa wazao wa Yoabu, alikuwa Obadia mwana wa Yehieli na wanaume mia mbili kumi na nane; Neno: Maandiko Matakatifu wa wazao wa Yoabu, alikuwa Obadia mwana wa Yehieli na wanaume 218 pamoja naye; BIBLIA KISWAHILI Wa wana wa Yoabu, Obadia, mwana wa Yehieli; na pamoja naye wanaume mia mbili na kumi na wanane. |
Wazawa wa Pahath-Moabu, wazawa wa Yeshua na Yoabu, elfu mbili mia nane na kumi na wawili.
Na wa wana wa Binui, Shelomithi, mwana wa Yosifia; na pamoja naye wanaume mia moja na sitini.
Wana wa Pahath-Moabu, wa wana wa Yeshua na Yoabu, elfu mbili mia nane na kumi na wanane.