Ezra 8:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wa wana wa Bigwai, Uthai, mwana wa Zabudi; na pamoja naye wanaume sabini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Uthai na Zakuri, wa ukoo wa Bigwai, pamoja na wanaume 70. Biblia Habari Njema - BHND Uthai na Zakuri, wa ukoo wa Bigwai, pamoja na wanaume 70. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Uthai na Zakuri, wa ukoo wa Bigwai, pamoja na wanaume 70. Neno: Bibilia Takatifu wa wazao wa Bigwai, walikuwa Uthai na Zakuri na wanaume sabini. Neno: Maandiko Matakatifu wa wazao wa Bigwai, walikuwa Uthai na Zakuri na wanaume 70 pamoja nao. BIBLIA KISWAHILI Na wa wana wa Bigwai, Uthai, mwana wa Zabudi; na pamoja naye wanaume sabini. |
Na wa wana wa Adonikamu, hawa waliokuwa wa mwisho, na hayo ndiyo majina yao, Elifeleti, na Yeueli, na Shemaya; na pamoja nao wanaume sitini.
Nikawakusanya penye mto ushukao kwenda Ahava; na huko tukapiga kambi yetu muda wa siku tatu; nikawakagua watu, na makuhani, wala sikuona hapo wana wa Lawi hata mmoja.