Farasi wao walikuwa mia saba thelathini na sita; nyumbu wao, mia mbili arubaini na watano;
Ezra 2:67 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC ngamia wao, mia nne thelathini na watano; punda wao elfu sita, mia saba na ishirini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema ngamia 435, na punda 6,720. Biblia Habari Njema - BHND ngamia 435, na punda 6,720. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza ngamia 435, na punda 6,720. Neno: Bibilia Takatifu ngamia mia nne thelathini na watano (435), na punda elfu sita, mia saba na ishirini (6,720). Neno: Maandiko Matakatifu ngamia 435 na punda 6,720. BIBLIA KISWAHILI ngamia wao, mia nne thelathini na watano; punda wao elfu sita, mia saba na ishirini. |
Farasi wao walikuwa mia saba thelathini na sita; nyumbu wao, mia mbili arubaini na watano;
Na baadhi ya wakuu wa koo za baba zao, hapo walipoifikia nyumba ya BWANA, iliyoko Yerusalemu, walitoa mali kwa ukarimu kwa ajili ya nyumba ya Mungu, ili kuisimamisha mahali pake;