Wakaleta kila mtu zawadi yake, vyombo vya fedha, na vyombo vya dhahabu, na mavazi, na silaha, na manukato, na farasi, na nyumbu, hesabu yake ya mwaka kwa mwaka.
Ezra 2:66 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Farasi wao walikuwa mia saba thelathini na sita; nyumbu wao, mia mbili arubaini na watano; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245, Biblia Habari Njema - BHND Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245, Neno: Bibilia Takatifu Walikuwa na farasi mia saba thelathini na sita (736), nyumbu mia mbili arobaini na watano (245), Neno: Maandiko Matakatifu Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245, BIBLIA KISWAHILI Farasi wao walikuwa mia saba thelathini na sita; nyumbu wao, mia mbili arobaini na watano; |
Wakaleta kila mtu zawadi yake, vyombo vya fedha, na vyombo vya dhahabu, na mavazi, na silaha, na manukato, na farasi, na nyumbu, hesabu yake ya mwaka kwa mwaka.
tena, zaidi ya hao, kulikuwa na watumishi wao wa kiume na wa kike, ambao walikuwa elfu saba, na mia tatu na thelathini na saba; nao walikuwa na waimbaji wa kiume na wa kike mia mbili.
Farasi wao walikuwa mia saba thelathini na sita; nyumbu zao, mia mbili arubaini na watano;
Mtazishika amri zangu. Usiwaache wanyama wako wa mfugo wakazaana kwa namna mbalimbali; usipande shamba lako mbegu za namna mbili pamoja; wala usivae mwilini mwako nguo ya namna mbili zilizochanganywa pamoja.