Na huyo Tirshatha akawaambia kwamba wasile katika vitu vitakatifu sana, hata atakaposimama kuhani mwenye Urimu na Thumimu.
Ezra 2:64 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi hilo kusanyiko lote nzima, jumla yake ilikuwa watu elfu arubaini na mbili na mia tatu na sitini, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wote waliorudi kutoka uhamishoni jumla yao ilikuwa 42,360; Biblia Habari Njema - BHND Watu wote waliorudi kutoka uhamishoni jumla yao ilikuwa 42,360; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wote waliorudi kutoka uhamishoni jumla yao ilikuwa 42,360; Neno: Bibilia Takatifu Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa elfu arobaini na mbili na mia tatu na sitini (42,360); Neno: Maandiko Matakatifu Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360; BIBLIA KISWAHILI Basi hilo kusanyiko lote nzima, jumla yake ilikuwa watu elfu arobaini na mbili na mia tatu na sitini, |
Na huyo Tirshatha akawaambia kwamba wasile katika vitu vitakatifu sana, hata atakaposimama kuhani mwenye Urimu na Thumimu.
tena, zaidi ya hao, kulikuwa na watumishi wao wa kiume na wa kike, ambao walikuwa elfu saba, na mia tatu na thelathini na saba; nao walikuwa na waimbaji wa kiume na wa kike mia mbili.
Na sasa kwa muda kidogo tumeneemeshwa na BWANA, Mungu wetu, hata akatuachia mabaki yaokoke, akatupa msumari katika mahali pake patakatifu. Mungu wetu atutie nuru machoni mwetu, tuburudike kidogo katika kufungwa kwetu.
Nami nitakusanya mabaki ya kundi langu, katika nchi zile zote nilizowafukuza, nami nitawaleta tena mazizini mwao; nao watazaa na kuongezeka.