Na hawa ndio watu waliokwea kutoka Tel-mela, na Tel-harsha, na Kerubu, na Adani, na Imeri; lakini hawakuweza kuonesha koo za baba zao, wala kizazi chao, kwamba walikuwa wa Israeli;
Ezra 2:60 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC wazawa wa Delaya, wazawa wa Tobia na wazawa wa Nekoda, mia sita hamsini na wawili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wao walikuwa watu wa ukoo wa Delaya wa Tobia na wa Nekoda, jumla watu 652. Biblia Habari Njema - BHND Wao walikuwa watu wa ukoo wa Delaya wa Tobia na wa Nekoda, jumla watu 652. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wao walikuwa watu wa ukoo wa Delaya wa Tobia na wa Nekoda, jumla watu 652. Neno: Bibilia Takatifu wazao wa Delaya, Tobia na Nekoda, mia sita hamsini na wawili (652). BIBLIA KISWAHILI wana wa Delaya, wana wa Tobia na wana wa Nekoda, mia sita hamsini na wawili. |
Na hawa ndio watu waliokwea kutoka Tel-mela, na Tel-harsha, na Kerubu, na Adani, na Imeri; lakini hawakuweza kuonesha koo za baba zao, wala kizazi chao, kwamba walikuwa wa Israeli;
Tena wa makuhani; wazawa wa Habaya, wazawa wa Hakosi, wazawa wa Barzilai, yule aliyeoa mmojawapo wa binti Barzilai, Mgileadi, akaitwa kwa jina lao.