Kwa habari ya watu wote waliosalia, Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi, na Wayebusi, wasiokuwa wa wana wa Israeli;
Ezra 2:55 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wazawa wa watumishi wa Sulemani; wazawa wa Sotai, wazawa wa Soferethi, wazawa wa Peruda; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Koo za wazawa wa watumishi wa Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa, ukoo wa Sotai, wa Hasoferethi, wa Perudha, Biblia Habari Njema - BHND Koo za wazawa wa watumishi wa Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa, ukoo wa Sotai, wa Hasoferethi, wa Perudha, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Koo za wazawa wa watumishi wa Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa, ukoo wa Sotai, wa Hasoferethi, wa Perudha, Neno: Bibilia Takatifu Wazao wa watumishi wa Sulemani: wazao wa Sotai, Hasaferethi, Peruda, Neno: Maandiko Matakatifu Wazao wa watumishi wa Sulemani: wazao wa Sotai, Hasaferethi, Peruda, BIBLIA KISWAHILI Wazawa wa watumishi wa Sulemani; wana wa Sotai, wana wa Soferethi, wana wa Peruda; |
Kwa habari ya watu wote waliosalia, Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi, na Wayebusi, wasiokuwa wa wana wa Israeli;
watoto wao waliosalia baada yao katika nchi, ambao wana wa Israeli hawakuweza kuwaharibu kabisa, katika hao Sulemani akawatumikisha shokoa hata leo.
Nami nikanunua watumwa na wajakazi, nikawa na watumwa waliozaliwa nyumbani mwangu; tena nikawa na mali nyingi za ng'ombe na kondoo, kuliko wote walionitangulia katika Yerusalemu;