Wazawa wa Harimu, elfu moja na kumi na saba.
wa ukoo wa Harimu: 1,017.
wazao wa Harimu, elfu moja na kumi na saba (1,017).
Wana wa Harimu, elfu moja na kumi na saba.
ya tatu Harimu, ya nne Seorimu;
Na wa wazawa wa Imeri; Hanani, na Zebadia.
Na wa wazawa wa Harimu; Maaseya, na Eliya, na Shemaya, na Yehieli, na Uzia.
Walawi; wazawa wa Yeshua, wazawa wa Kadmieli wa wawazawa wa Hodavia, sabini na wanne.