Ezra 2:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wazawa wa Imeri, elfu moja hamsini na wawili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wa ukoo wa Imeri: 1,052; Biblia Habari Njema - BHND wa ukoo wa Imeri: 1,052; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wa ukoo wa Imeri: 1,052; Neno: Bibilia Takatifu wazao wa Imeri, elfu moja hamsini na wawili (1,052); BIBLIA KISWAHILI Wana wa Imeri, elfu moja hamsini na wawili. |
na Adaya, mwana wa Yerohamu, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya; na Maasai, mwana wa Adieli, mwana wa Yazera, mwana wa Meshulamu, mwana wa Meshilemithi, mwana wa Imeri;
Basi Pashuri, mwana wa Imeri, kuhani, aliyekuwa msimamizi mkuu katika nyumba ya BWANA, alimsikia Yeremia alipokuwa akitoa unabii huo.