Watu wa Senaa, elfu tatu mia sita na thelathini.
wa mji wa Senaa: 3,630.
wazao wa Senaa, elfu tatu mia sita na thelathini (3,630).
Watu wa Yeriko, mia tatu arubaini na watano.
Makuhani; wazawa wa Yedaya, wa ukoo wa Yeshua, mia tisa sabini na watatu.
Na lango la samaki wakalijenga wana wa Senaa; wakazitia boriti zake, wakaisimamisha milango yake, na vyuma vyake, na makomeo yake.
Watu wa Senaa, elfu tatu mia tisa na thelathini.