Na wana wa Elpaali; Eberi, na Mishamu, na Shemedi, ambaye ndiye aliyejenga Ono na Lodi, pamoja na vijiji vyake;
Ezra 2:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Watu wa Lodi, na Hadidi, na Ono, mia saba ishirini na watano. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wa mji wa Lodi, Hadidi na wa Ono: 725; Biblia Habari Njema - BHND wa mji wa Lodi, Hadidi na wa Ono: 725; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wa mji wa Lodi, Hadidi na wa Ono: 725; Neno: Bibilia Takatifu wazao wa Lodi, Hadidi na Ono, mia saba ishirini na watano (725); BIBLIA KISWAHILI Watu wa Lodi, na Hadidi, na Ono, mia saba ishirini na watano. |
Na wana wa Elpaali; Eberi, na Mishamu, na Shemedi, ambaye ndiye aliyejenga Ono na Lodi, pamoja na vijiji vyake;
Sanbalati na Geshemu wakatuma wajumbe kwangu, wakasema, Njoo, tukutane huko vijijini katika nchi tambarare ya Ono. Lakini wakakusudia kunifanyia mabaya.
Wakati Petro alipokuwa akizungukazunguka pande zote akawateremkia na watakatifu waliokaa Lida.