Wazawa wa Besai, mia tatu ishirini na watatu.
wa ukoo wa Besai: 323;
wazao wa Besai, mia tatu ishirini na watatu (323);
Wana wa Besai, mia tatu ishirini na watatu.
Wazawa wa Ateri, wazawa wa Hezekia, tisini na wanane.
Wazawa wa Harifu, mia moja na kumi na wawili.
Wana wa Besai, mia tatu ishirini na wanne.