Wazawa wa Ateri, wazawa wa Hezekia, tisini na wanane.
wa ukoo wa Ateri, yaani Hezekia: 98;
wazao wa Ateri (kupitia Hezekia), tisini na nane (98);
Wana wa Ateri, wana wa Hezekia, tisini na wanane.
Wazawa wa Adini, mia nne hamsini na wanne.
Wazawa wa Besai, mia tatu ishirini na watatu.
Wana wa Ateri, wa Hezekia, tisini na wanane.