Wazawa wa Bigwai, elfu mbili hamsini na sita.
wa ukoo wa Bigwai: 2,056;
wazao wa Bigwai, elfu mbili hamsini na sita (2,056);
Wana wa Bigwai, elfu mbili hamsini na sita.
Wazawa wa Adonikamu, mia sita sitini na sita.
Wazawa wa Adini, mia nne hamsini na wanne.
Na wa wana wa Bigwai, Uthai, mwana wa Zabudi; na pamoja naye wanaume sabini.
Wana wa Bigwai, elfu mbili sitini na saba.