Wazawa wa Bebai, mia sita ishirini na watatu.
wa ukoo wa Bebai: 623;
wazao wa Bebai, mia sita ishirini na watatu (623);
Wana wa Bebai, mia sita ishirini na watatu.
Na wa wazawa wa Bebai; Yehohanani, na Hanania, na Zakai, na Athlai.
Wazawa wa Binui, mia sita arubaini na wawili.
Wazawa wa Azgadi, elfu moja mia mbili ishirini na wawili.
Na wa wana wa Bebai, Zekaria, mwana wa Bebai; na pamoja naye wanaume ishirini na wanane.
Wana wa Bebai, mia sita ishirini na wanane.