Wazawa wa Binui, mia sita arubaini na wawili.
wa ukoo wa Bani: 842;
wazao wa Bani, mia sita arobaini na wawili (642);
Wana wa Binui, mia sita arobaini na wawili.
Na wa wazawa wa Bani; Maadai, na Amramu, na Ueli,
Wazawa wa Bebai, mia sita ishirini na watatu.
Wazawa wa Zakai, mia saba na sitini.
Wana wa Binui, mia sita arubaini na wanane.