Hata Shekania, mwana wa Yehieli, mmoja wa wazawa wa Elamu, akajibu, akamwambia Ezra, Sisi tumemkosea Mungu wetu, nasi tumeoa wanawake wageni wa watu wa nchi hizi; lakini bado kuna tumaini kwa Israeli katika jambo hili.
Ezra 10:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wa wazawa wa Elamu; Matania, na Zekaria, na Yehieli, na Abdi, na Yeremothi, na Eliya. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ukoo wa Elamu: Matania, Zekaria, Yehieli, Abdi, Yeremothi na Elia. Biblia Habari Njema - BHND Ukoo wa Elamu: Matania, Zekaria, Yehieli, Abdi, Yeremothi na Elia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ukoo wa Elamu: Matania, Zekaria, Yehieli, Abdi, Yeremothi na Elia. Neno: Bibilia Takatifu Kutoka wazao wa Elamu: Matania, Zekaria, Yehieli, Abdi, Yeremothi na Ilya. Neno: Maandiko Matakatifu Kutoka wazao wa Elamu: Matania, Zekaria, Yehieli, Abdi, Yeremothi na Ilya. BIBLIA KISWAHILI Na wa wana wa Elamu; Matania, na Zekaria, na Yehieli, na Abdi, na Yeremothi, na Eliya. |
Hata Shekania, mwana wa Yehieli, mmoja wa wazawa wa Elamu, akajibu, akamwambia Ezra, Sisi tumemkosea Mungu wetu, nasi tumeoa wanawake wageni wa watu wa nchi hizi; lakini bado kuna tumaini kwa Israeli katika jambo hili.
Na wa Israeli; wa wazawa wa Paroshi; Ramia, na Izia, na Malkiya, na Miyamini, na Eleazari, na Malkiya, na Benaya.
Na wa wazawa wa Zatu; Elioenai, na Eliashibu, na Matania, na Yeremothi, na Zabadi, na Aziza.