Basi wakaenda, wakawaita mabawabu wa mji; wakawaambia, Tulifika kituo cha Washami, na tazama, hapana mtu yeyote huko, wala sauti ya mtu, ila farasi wamefungwa, na punda wamefungwa, na hema zao kama walivyoziacha.
Ezra 10:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wa waimbaji; Eliashibu. Na wa mabawabu; Shalumu, na Telemu, na Uri. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kati ya waimbaji: Eliashibu. Walinzi wa hekalu: Shalumu, Telemu na Uri. Biblia Habari Njema - BHND Kati ya waimbaji: Eliashibu. Walinzi wa hekalu: Shalumu, Telemu na Uri. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kati ya waimbaji: Eliashibu. Walinzi wa hekalu: Shalumu, Telemu na Uri. Neno: Bibilia Takatifu Kutoka waimbaji: Eliashibu. Kutoka mabawabu: Shalumu, Telemu na Uri. Neno: Maandiko Matakatifu Kutoka waimbaji: Eliashibu. Kutoka mabawabu: Shalumu, Telemu na Uri. BIBLIA KISWAHILI Na wa waimbaji; Eliashibu. Na wa mabawabu; Shalumu, na Telemu, na Uri. |
Basi wakaenda, wakawaita mabawabu wa mji; wakawaambia, Tulifika kituo cha Washami, na tazama, hapana mtu yeyote huko, wala sauti ya mtu, ila farasi wamefungwa, na punda wamefungwa, na hema zao kama walivyoziacha.
Na wa Walawi; Yozabadi, na Shimei, na Kelaya (ndiye Kelita), na Pethahia, na Yuda, na Eliezeri.
Na wa Israeli; wa wazawa wa Paroshi; Ramia, na Izia, na Malkiya, na Miyamini, na Eleazari, na Malkiya, na Benaya.