Ezra 10:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wa wazawa wa Imeri; Hanani, na Zebadia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ukoo wa Imeri: Hanani na Zebadia. Biblia Habari Njema - BHND Ukoo wa Imeri: Hanani na Zebadia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ukoo wa Imeri: Hanani na Zebadia. Neno: Bibilia Takatifu Kutoka wazao wa Imeri: Hanani na Zebadia. Neno: Maandiko Matakatifu Kutoka wazao wa Imeri: Hanani na Zebadia. BIBLIA KISWAHILI Na wa wana wa Imeri; Hanani, na Zebadia. |
Nao wakatoa ahadi ya kwamba wataachana na wake zao; na kwa kuwa walikuwa na hatia, wakatoa kondoo dume kwa hatia yao.
Ndipo akasimama Yoshua, mwana wa Yosadaki, na ndugu zake makuhani, na Zerubabeli, mwana wa Shealtieli, na ndugu zake, nao wakaijenga madhabahu ya Mungu wa Israeli, ili kutoa sadaka za kuteketezwa juu yake, kama ilivyoandikwa katika Torati ya Musa, mtu wa Mungu.