Na behewa kubwa pande zote ilikuwa na safu tatu za mawe ya kuchongwa, na safu moja ya mihimili ya mierezi; mfano wa behewa ya ndani ya nyumba ya BWANA, na ukumbi wa nyumba.
Ezekieli 8:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akanileta hadi katika mlango wa ua; nami nilipoangalia, tazama, pana tundu katika ukuta. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha akanipeleka mpaka lango la ua. Nilipoangalia nikaona tundu ukutani. Biblia Habari Njema - BHND Kisha akanipeleka mpaka lango la ua. Nilipoangalia nikaona tundu ukutani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha akanipeleka mpaka lango la ua. Nilipoangalia nikaona tundu ukutani. Neno: Bibilia Takatifu Kisha akanileta hadi ingilio la ukumbi. Nikatazama, nami nikaona tundu ukutani. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha akanileta mpaka ingilio la ukumbi. Nikatazama, nami nikaona tundu ukutani. BIBLIA KISWAHILI Akanileta hadi katika mlango wa ua; nami nilipoangalia, tazama, pana tundu katika ukuta. |
Na behewa kubwa pande zote ilikuwa na safu tatu za mawe ya kuchongwa, na safu moja ya mihimili ya mierezi; mfano wa behewa ya ndani ya nyumba ya BWANA, na ukumbi wa nyumba.
Akajenga madhabahu kwa ajili ya jeshi lote la mbinguni katika behewa mbili za nyumba ya BWANA.
Akafanya miimo pia, dhiraa sitini; na uwanda uliufikia mwimo, lango lile likizungukwa pande zote.
Akaniambia, Mwanadamu, je! Unayaona wanayoyafanya, yaani, haya machukizo makubwa wanayoyafanya nyumba ya Israeli hapa, ili niende zangu mbali na patakatifu pangu? Lakini utaona tena machukizo makubwa mengine.
Ndipo akaniambia, Mwanadamu, toboa sasa katika ukuta huu; nami nilipotoboa, tazama, pana mlango.
Na alaaniwe mtu afanyaye sanamu ya kuchonga, au ya kusubu, machukizo kwa BWANA, kazi ya mikono ya fundi, akaisimamisha kwa siri. Na watu wote wajibu, waseme, Amina.