Lakini huyo kamanda wa askari walinzi akawaacha watu walio maskini ili wawe watunza mizabibu na wakulima.
Ezekieli 5:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nawe twaa nywele chache katika hizo, na kuzifunga katika upindo wa mavazi yako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sehemu ndogo tu ya nywele zako utaichukua na kuifunga kwenye mkunjo wa joho lako. Biblia Habari Njema - BHND Sehemu ndogo tu ya nywele zako utaichukua na kuifunga kwenye mkunjo wa joho lako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sehemu ndogo tu ya nywele zako utaichukua na kuifunga kwenye mkunjo wa joho lako. Neno: Bibilia Takatifu Lakini chukua nywele chache uzifungie ndani ya pindo la vazi lako. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini chukua nywele chache uzifungie ndani ya pindo la vazi lako. BIBLIA KISWAHILI Nawe twaa nywele chache katika hizo, na kuzifunga katika upindo wa mavazi yako. |
Lakini huyo kamanda wa askari walinzi akawaacha watu walio maskini ili wawe watunza mizabibu na wakulima.
Lakini Nebuzaradani, kamanda wa askari walinzi, akawaacha baadhi ya maskini wa watu, waliokuwa hawana kitu, katika nchi ya Yuda, akawapa mashamba ya mizabibu na mashamba wakati uo huo.
Basi, Yeremia akaenda kwa Gedalia, mwana wa Ahikamu, huko Mizpa, akakaa pamoja naye kati ya watu wale waliosalia katika nchi.
Lakini Nebuzaradani, kamanda wa askari walinzi, akawaacha watu walio maskini kabisa ili wawe watunza mizabibu na wakulima.
Theluthi ya hizo utaiteketeza katikati ya mji, siku za kuzingirwa zitakapomalizika; nawe utatwaa theluthi, na kuipiga kwa upanga pande zote; nawe utatawanya theluthi ichukuliwe na upepo, nami nitafuta upanga nyuma yake.
Nawe utatwaa tena baadhi ya hizo, na kuzitupa katikati ya moto, na kuziteketeza katika moto huo; kutoka nywele hizo moto utakuja na kuingia katika nyumba yote ya Israeli.
Na mwenye haki akiokoka kwa shida, yule asiyemcha Mungu na mwenye dhambi ataonekana wapi?