Pelekeni wana-kondoo, kodi yake aitawalaye nchi toka Sela kuelekea jangwani, mpaka mlima wa binti Sayuni.
Ezekieli 45:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Watu wote wa nchi watatoa toleo hili kwa ajili ya mkuu katika Israeli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wote nchini watampa sadaka hizo mtawala wa Israeli. Biblia Habari Njema - BHND Watu wote nchini watampa sadaka hizo mtawala wa Israeli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wote nchini watampa sadaka hizo mtawala wa Israeli. Neno: Bibilia Takatifu Watu wote wa nchi wataungana pamoja katika kutoa sadaka hii maalum ya kutumiwa na mkuu anayetawala Israeli. Neno: Maandiko Matakatifu Watu wote wa nchi wataungana pamoja katika kutoa sadaka hii maalum ya kutumiwa na mkuu anayetawala Israeli. BIBLIA KISWAHILI Watu wote wa nchi watatoa toleo hili kwa ajili ya mkuu katika Israeli. |
Pelekeni wana-kondoo, kodi yake aitawalaye nchi toka Sela kuelekea jangwani, mpaka mlima wa binti Sayuni.