Ezekieli 45:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mtakuwa na mizani ya haki, na efa ya haki, na bathi ya haki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kila mtu ni lazima atumie mizani na vipimo halali. Biblia Habari Njema - BHND Kila mtu ni lazima atumie mizani na vipimo halali. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kila mtu ni lazima atumie mizani na vipimo halali. Neno: Bibilia Takatifu Tumieni mizani sahihi na vipimo sahihi vya efa na bathi. Neno: Maandiko Matakatifu Tumieni mizani sahihi na vipimo sahihi vya efa na bathi. BIBLIA KISWAHILI Mtakuwa na mizani ya haki, na efa ya haki, na bathi ya haki. |
Kwa maana shamba la mizabibu la eka kumi litatoa bathi moja tu, na homeri ya mbegu itatoa efa tu.
Uwe na jiwe timilifu la haki, uwe na kipimo kitimilifu cha haki; zipate kuwa nyingi siku zako, katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako.