Na katika siku atakayoingia ndani ya patakatifu, katika ua wa ndani, ili kuhudumu ndani ya patakatifu, atatoa sadaka yake ya dhambi, asema Bwana MUNGU.
Ezekieli 44:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Naye akiisha kutakaswa watamhesabia siku saba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mmoja wao akisha jitia unajisi, atakaa hali hiyo kwa muda wa siku saba. Kisha atakuwa safi. Biblia Habari Njema - BHND Mmoja wao akisha jitia unajisi, atakaa hali hiyo kwa muda wa siku saba. Kisha atakuwa safi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mmoja wao akisha jitia unajisi, atakaa hali hiyo kwa muda wa siku saba. Kisha atakuwa safi. Neno: Bibilia Takatifu Baada ya kujitakasa, atakaa hali hiyo kwa muda wa siku saba. Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya kujitakasa, atakaa hali hiyo kwa muda wa siku saba. BIBLIA KISWAHILI Naye akiisha kutakaswa watamhesabia siku saba. |
Na katika siku atakayoingia ndani ya patakatifu, katika ua wa ndani, ili kuhudumu ndani ya patakatifu, atatoa sadaka yake ya dhambi, asema Bwana MUNGU.
Kisha mtu yeyote huko nje shambani atakayemgusa mtu aliyeuawa kwa upanga, au mzoga, au mfupa wa mtu, au kaburi, atakuwa najisi muda wa siku saba.