Wala hawataoa wanawake wajane, wala mwanamke aliyeachwa na mume wake; lakini watatwaa mabikira wa wazao wa nyumba ya Israeli, au mjane aliyefiwa na mumewe kuhani.
Ezekieli 44:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wala kuhani awaye yote hatakunywa mvinyo, aingiapo katika ua wa ndani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kuhani yeyote asinywe divai anapoingia ua wa ndani. Biblia Habari Njema - BHND Kuhani yeyote asinywe divai anapoingia ua wa ndani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kuhani yeyote asinywe divai anapoingia ua wa ndani. Neno: Bibilia Takatifu Kuhani yeyote asinywe mvinyo aingiapo katika ukumbi wa ndani. Neno: Maandiko Matakatifu Kuhani yeyote asinywe mvinyo aingiapo katika ukumbi wa ndani. BIBLIA KISWAHILI Wala kuhani awaye yote hatakunywa mvinyo, aingiapo katika ua wa ndani. |
Wala hawataoa wanawake wajane, wala mwanamke aliyeachwa na mume wake; lakini watatwaa mabikira wa wazao wa nyumba ya Israeli, au mjane aliyefiwa na mumewe kuhani.
Usinywe divai wala kileo chochote, wewe, wala wanao pamoja nawe, hapo mwingiapo ndani ya hema ya kukutania, ili kwamba msife; amri hii itakuwa ni amri ya milele katika vizazi vyenu;
Kwa sababu atakuwa mkuu mbele za Bwana; hatakunywa divai wala kileo; naye atajazwa Roho Mtakatifu hata tangu tumboni mwa mamaye.
Vivyo hivyo mashemasi na wawe wastahivu; si wenye kauli mbili, si watu wa kutumia mvinyo sana, si watu wanaotamani fedha ya aibu;
Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.