Basi akaipima nyumba, urefu wake dhiraa mia moja; na mahali pale palipotengeka na jengo lile, pamoja na kuta zake, urefu wake dhiraa mia moja;
Ezekieli 42:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC kukabili urefu wa dhiraa mia moja palikuwa na mlango wa kaskazini, na upana wake ni dhiraa hamsini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Jengo hili lililokuwa upande wa kaskazini lilikuwa na urefu wa mita 50 na upana wa mita 25. Biblia Habari Njema - BHND Jengo hili lililokuwa upande wa kaskazini lilikuwa na urefu wa mita 50 na upana wa mita 25. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Jengo hili lililokuwa upande wa kaskazini lilikuwa na urefu wa mita 50 na upana wa mita 25. Neno: Bibilia Takatifu Jengo ambalo mlango wake ulielekea kaskazini lilikuwa na urefu wa dhiraa mia moja na upana wa dhiraa hamsini. Neno: Maandiko Matakatifu Jengo ambalo mlango wake ulielekea kaskazini lilikuwa na urefu wa dhiraa mia moja na upana wa dhiraa hamsini. BIBLIA KISWAHILI kukabili urefu wa dhiraa mia moja palikuwa na mlango wa kaskazini, na upana wake ni dhiraa hamsini. |
Basi akaipima nyumba, urefu wake dhiraa mia moja; na mahali pale palipotengeka na jengo lile, pamoja na kuta zake, urefu wake dhiraa mia moja;
Kukabili zile dhiraa ishirini za ua wa ndani, na kukabili sakafu ya mawe ya ua wa nje, palikuwa na baraza kukabili baraza katika ghorofa ya tatu.