kulipambwa kwa makerubi na mitende; mtende mmoja kati ya kerubi na kerubi, na kila kerubi lilikuwa na nyuso mbili;
Ezekieli 41:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Toka chini hadi juu ya mlango makerubi yamefanyika, na mitende, na vivi hivi ukuta wa hekalu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema tangu sakafu hadi juu ya milango palichorwa viumbe wenye mabawa na mitende. Biblia Habari Njema - BHND tangu sakafu hadi juu ya milango palichorwa viumbe wenye mabawa na mitende. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza tangu sakafu hadi juu ya milango palichorwa viumbe wenye mabawa na mitende. Neno: Bibilia Takatifu Kuanzia sakafu hadi eneo lililo juu ya ingilio, palinakshiwa makerubi na mitende, pamoja na kwenye ukuta wa nje wa Patakatifu. Neno: Maandiko Matakatifu Kuanzia sakafu mpaka eneo lililo juu ya ingilio, palinakshiwa makerubi na miti ya mitende pamoja na kwenye ukuta wa nje wa patakatifu. BIBLIA KISWAHILI Toka chini hadi juu ya mlango makerubi yamefanyika, na mitende, na vivi hivi ukuta wa hekalu. |
kulipambwa kwa makerubi na mitende; mtende mmoja kati ya kerubi na kerubi, na kila kerubi lilikuwa na nyuso mbili;
Msifanye sanamu yoyote, wala msijisimamishie sanamu ya kuchonga, wala mnara, wala msiweke jiwe lolote lililochorwa katika nchi yenu ili kulisujudia; kwa kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.