Ndipo akanileta mpaka katika ua wa nje, na tazama, palikuwa na vyumba, na sakafu iliyofanyizwa kwa ule ua pande zote; vyumba thelathini vilikuwako juu ya sakafu ile.
Ezekieli 41:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na vyumba vya walinzi, upana wa dhiraa ishirini, kuizunguka nyumba pande zote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na vyumba vya walinzi vilikuwa na upana wa mita 10, kuzunguka hekalu. Biblia Habari Njema - BHND na vyumba vya walinzi vilikuwa na upana wa mita 10, kuzunguka hekalu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na vyumba vya walinzi vilikuwa na upana wa mita 10, kuzunguka hekalu. Neno: Bibilia Takatifu na vyumba vya makuhani lilikuwa na upana wa dhiraa ishirini kuzunguka Hekalu pande zote. Neno: Maandiko Matakatifu na vyumba vya makuhani lilikuwa na upana wa dhiraa ishirini kuzunguka Hekalu pande zote. BIBLIA KISWAHILI na vyumba vya walinzi, upana wa dhiraa ishirini, kuizunguka nyumba pande zote. |
Ndipo akanileta mpaka katika ua wa nje, na tazama, palikuwa na vyumba, na sakafu iliyofanyizwa kwa ule ua pande zote; vyumba thelathini vilikuwako juu ya sakafu ile.
Na chumba, pamoja na lango lake, kilikuwa karibu na miimo ya malango; ndiko walikoiosha sadaka ya kuteketezwa.
Ndipo akanileta mpaka ua wa nje, njia ya kuelekea upande wa kaskazini; akaniingiza katika chumba kilichopakabili mahali palipotengeka, na kilicholikabili jengo upande wa kaskazini;
Kukabili zile dhiraa ishirini za ua wa ndani, na kukabili sakafu ya mawe ya ua wa nje, palikuwa na baraza kukabili baraza katika ghorofa ya tatu.