wala sitakuacha usikie matusi ya wasioamini, wala hutaaibishwa na watu tena; wala hutalikwaza taifa lako tena, asema Bwana MUNGU.
Ezekieli 36:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Tena, neno la BWANA likanijia, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Biblia Habari Njema - BHND Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Neno: Bibilia Takatifu Neno la Mwenyezi Mungu likanijia tena, kusema: Neno: Maandiko Matakatifu Neno la bwana likanijia tena, kusema: BIBLIA KISWAHILI Tena, neno la BWANA likanijia, kusema, |
wala sitakuacha usikie matusi ya wasioamini, wala hutaaibishwa na watu tena; wala hutalikwaza taifa lako tena, asema Bwana MUNGU.
Mwanadamu, nyumba ya Israeli walipokaa katika nchi yao wenyewe, waliitia uchafu kwa njia yao na kwa matendo yao. Njia yao mbele zangu ilikuwa kama uchafu wa mwanamke wakati wa kutengwa kwake.