Katika siku hiyo itakuwako madhabahu katika nchi ya Misri kwa BWANA, na nguzo mpakani mwake kwa BWANA.
Ezekieli 30:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Neno la BWANA likanijia tena, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Biblia Habari Njema - BHND Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Neno: Bibilia Takatifu Neno la Mwenyezi Mungu likanijia kusema: Neno: Maandiko Matakatifu Neno la bwana likanijia kusema: BIBLIA KISWAHILI Neno la BWANA likanijia tena, kusema, |
Katika siku hiyo itakuwako madhabahu katika nchi ya Misri kwa BWANA, na nguzo mpakani mwake kwa BWANA.
Naye atakuja, na kuipiga nchi ya Misri; watu walioandikiwa kufa watakufa, nao walioandikiwa kuwa mateka watakuwa mateka, nao walioandikiwa kupigwa kwa upanga watapigwa kwa upanga.
Ikawa katika mwaka wa ishirini na saba, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,
Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya Farao, mfalme wa Misri, ukatabiri juu yake, na juu ya Misri yote;
Siku ile nitawachipushia nyumba ya Israeli pembe, nami nitakujalia kufumbua kinywa kati yao; nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.
Mwanadamu, tabiri, useme, Bwana MUNGU asema hivi; Pigeni makelele ya uchungu, Ole wa siku ile!
Kwa maana nimeweka utisho wake katika nchi ya walio hai; naye atalazwa kati yao wasiotahiriwa, pamoja na hao waliouawa kwa upanga; yeye Farao na watu wake wote jamii, asema Bwana MUNGU.