Ndipo nikakipokea kikombe kile mkononi mwa BWANA, nikawanywesha mataifa yote, ambao BWANA alinituma kwao;
Ezekieli 3:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi nikafunua kinywa changu, naye akanilisha lile gombo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa hiyo nilifumbua kinywa changu, naye akanilisha hicho kitabu. Biblia Habari Njema - BHND Kwa hiyo nilifumbua kinywa changu, naye akanilisha hicho kitabu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa hiyo nilifumbua kinywa changu, naye akanilisha hicho kitabu. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo, nikafungua kinywa changu, naye akanipa kile kitabu nikile. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo nikafungua kinywa changu, naye akanilisha ule ukurasa wa kitabu. BIBLIA KISWAHILI Basi nikafunua kinywa changu, naye akanilisha lile gombo. |
Ndipo nikakipokea kikombe kile mkononi mwa BWANA, nikawanywesha mataifa yote, ambao BWANA alinituma kwao;
Akaniambia, Mwanadamu, lisha tumbo lako, ulijaze tumbo lako kwa hili gombo nikupalo. Ndipo nikalila, nalo kinywani mwangu lilikuwa tamu, kama utamu wa asali.