Na wana wa Kushi ni Seba, na Havila, na Sabta, na Raama, na Sabteka. Na wana wa Raama ni Sheba, na Dedani.
Ezekieli 27:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Dedani alikuwa mchuuzi wako, kwa nguo za thamani za kutandikia farasi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wa Dedani walifanya biashara nawe kwa kukupatia matandiko ya farasi. Biblia Habari Njema - BHND Watu wa Dedani walifanya biashara nawe kwa kukupatia matandiko ya farasi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wa Dedani walifanya biashara nawe kwa kukupatia matandiko ya farasi. Neno: Bibilia Takatifu “ ‘Dedani alifanya biashara nawe kwa matandiko ya farasi. Neno: Maandiko Matakatifu “ ‘Dedani alifanya biashara nawe kwa matandiko ya farasi. BIBLIA KISWAHILI Dedani alikuwa mchuuzi wako, kwa nguo za thamani za kutandikia farasi. |
Na wana wa Kushi ni Seba, na Havila, na Sabta, na Raama, na Sabteka. Na wana wa Raama ni Sheba, na Dedani.
Yokshani akamzaa Sheba, na Dedani; na wana wa Dedani walikuwa Waashuri na Waletushi, na Waleumi.
kwa sababu hiyo, Bwana MUNGU asema hivi; Nitanyosha mkono wangu juu ya Edomu, nitakatilia mbali nayo wanadamu na wanyama; nami nitaifanya kuwa ukiwa toka Temani; na mpaka Dedani wataanguka kwa upanga.
Wadedani walikuwa wachuuzi wako, visiwa vingi vilikuwa soko la mkono wako; walikuletea pembe, na mpingo, ili kuvibadili.
Wedani, na Yavani, walifanya biashara toka Uzali kwa vitu vyako; chuma kilichofuliwa, na mdalasini, na mchai, vilikuwa katika bidhaa yako.
Sheba, na Dedani, na wafanya biashara wa Tarshishi, pamoja na wanasimba wake wote, watakuambia, Je! Umekuja kuteka mateka? Umekusanya jeshi lako, ili kuwinda mawindo? Kuchukua fedha na dhahabu, kuchukua ng'ombe na mali, kuteka kiasi kikubwa cha nyara?