Ezekieli 22:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Zilizo karibu, na zilizo mbali nawe, zitakudhihaki, Ewe mchafu, uliyejaa fujo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nchi zote za mbali na karibu zitakudhihaki. Umejipatia sifa mbaya na kujaa fujo. Biblia Habari Njema - BHND Nchi zote za mbali na karibu zitakudhihaki. Umejipatia sifa mbaya na kujaa fujo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nchi zote za mbali na karibu zitakudhihaki. Umejipatia sifa mbaya na kujaa fujo. Neno: Bibilia Takatifu Wale walio karibu na wale walio mbali watakudhihaki, ewe mji wenye sifa mbaya, uliyejaa ghasia. Neno: Maandiko Matakatifu Wale walio karibu na wale walio mbali watakudhihaki, Ewe mji wenye sifa mbaya, uliyejaa ghasia. BIBLIA KISWAHILI Zilizo karibu, na zilizo mbali nawe, zitakudhihaki, Ewe mchafu, uliyejaa fujo. |
Ewe uliyejaa makelele, Mji wa ghasia, mji wenye furaha; Watu wako waliouawa hawakuuawa kwa upanga, Wala hawakufa vitani.
Bwana MUNGU asema hivi; Utakinywea kikombe cha dada yako; chenye kina kirefu na kipana; utadhihakiwa na kudharauliwa; nacho kimejaa sana.