Kama fedha iyeyushwavyo katika tanuri, ndivyo mtakavyoyeyushwa katikati mwake; nanyi mtajua ya kuwa mimi, BWANA, nimemwaga ghadhabu yangu juu yenu.
Ezekieli 22:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Neno la BWANA likanijia, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Biblia Habari Njema - BHND Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Neno: Bibilia Takatifu Neno la Mwenyezi Mungu likanijia tena kusema: Neno: Maandiko Matakatifu Neno la bwana likanijia tena kusema: BIBLIA KISWAHILI Neno la BWANA likanijia, kusema, |
Kama fedha iyeyushwavyo katika tanuri, ndivyo mtakavyoyeyushwa katikati mwake; nanyi mtajua ya kuwa mimi, BWANA, nimemwaga ghadhabu yangu juu yenu.
Mwanadamu, uiambie nchi, Wewe u nchi isiyotakasika, wala kunyeshewa mvua siku ya ghadhabu.