Nawe utatiwa unajisi ndani ya nafsi yako, mbele ya macho ya mataifa; nawe utajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.
Ezekieli 22:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Neno la BWANA likanijia, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tena neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema - BHND Tena neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tena neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Neno: Bibilia Takatifu Ndipo neno la Mwenyezi Mungu likanijia kusema: Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo neno la bwana likanijia kusema: BIBLIA KISWAHILI Neno la BWANA likanijia, kusema, |
Nawe utatiwa unajisi ndani ya nafsi yako, mbele ya macho ya mataifa; nawe utajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.
Mwanadamu, nyumba ya Israeli imekuwa taka za fedha kwangu; wote wamekuwa shaba, na bati, na chuma, na risasi, katika tanuri; wamekuwa taka za fedha.
Baadhi yenu nimewaangamiza, kama hapo Mungu alipoiangamiza Sodoma na Gomora, nanyi mkawa kama kinga kilichonyakuliwa motoni; lakini hamkunirudia mimi, asema BWANA.