Akafanya hivi mkewe Yeroboamu, akaondoka, akaenda Shilo, akaja nyumbani kwa Ahiya. Basi Ahiya hakuweza kuona; kwa kuwa macho yake yamepofuka kwa sababu ya uzee wake.
Ezekieli 14:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo neno la BWANA likanijia, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema - BHND Basi neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Neno: Bibilia Takatifu Ndipo neno la Mwenyezi Mungu likanijia kusema: Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo neno la bwana likanijia kusema: BIBLIA KISWAHILI Ndipo neno la BWANA likanijia, kusema, |
Akafanya hivi mkewe Yeroboamu, akaondoka, akaenda Shilo, akaja nyumbani kwa Ahiya. Basi Ahiya hakuweza kuona; kwa kuwa macho yake yamepofuka kwa sababu ya uzee wake.
Mwanadamu, watu hawa wametwaa vinyago vyao na kuvitia mioyoni mwao, nao wameweka kwazo la uovu wao mbele ya nyuso zao. Je! Nitakubali kuombwa ushauri na wao?
Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lolote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.