Basi mfalme wa Israeli na Yehoshafati mfalme wa Yuda walikuwa wakikaa kila mtu katika kiti chake cha enzi, wamevaa mavazi yao, katika sakafu langoni pa Samaria; na manabii wote wakafanya unabii mbele yao.
Ezekieli 13:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha neno la BWANA likanijia, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Biblia Habari Njema - BHND Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Neno: Bibilia Takatifu Neno la Mwenyezi Mungu likanijia kusema: Neno: Maandiko Matakatifu Neno la bwana likanijia kusema: BIBLIA KISWAHILI Kisha neno la BWANA likanijia, kusema, |
Basi mfalme wa Israeli na Yehoshafati mfalme wa Yuda walikuwa wakikaa kila mtu katika kiti chake cha enzi, wamevaa mavazi yao, katika sakafu langoni pa Samaria; na manabii wote wakafanya unabii mbele yao.
Basi uwaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Maneno yangu hayatakawilishwa tena hata moja, bali neno nitakalolinena litatimizwa, asema Bwana MUNGU.
Mwanadamu, tabiri juu ya manabii wa Israeli wanaotabiri, uwaambie wanaotabiri kwa mioyo yao wenyewe, Lisikieni neno la BWANA;