Nikafanya vile vile kama nilivyoamriwa; nilitoa vyombo vyangu wakati wa mchana kana kwamba ni vyombo vya kuhamishwa, na wakati wa jioni nikautoboa ukuta kwa mkono wangu; nikavitoa gizani, nikavichukua begani, mbele ya macho yao.
Ezekieli 12:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Asubuhi neno la BWANA likanijia, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kesho yake asubuhi, Mwenyezi-Mungu akaniuliza: Biblia Habari Njema - BHND Kesho yake asubuhi, Mwenyezi-Mungu akaniuliza: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kesho yake asubuhi, Mwenyezi-Mungu akaniuliza: Neno: Bibilia Takatifu Asubuhi neno la Mwenyezi Mungu likanijia kusema: Neno: Maandiko Matakatifu Asubuhi neno la bwana likanijia kusema: BIBLIA KISWAHILI Asubuhi neno la BWANA likanijia, kusema, |
Nikafanya vile vile kama nilivyoamriwa; nilitoa vyombo vyangu wakati wa mchana kana kwamba ni vyombo vya kuhamishwa, na wakati wa jioni nikautoboa ukuta kwa mkono wangu; nikavitoa gizani, nikavichukua begani, mbele ya macho yao.
Mwanadamu, nyumba ya Israeli, je! Nyumba ile iliyoasi, hawakukuambia, Unafanya nini wewe?