Akasema, Itwae mishale; akaitwaa. Akamwambia mfalme wa Israeli, Piga chini; akaipiga nchi mara tatu, akaacha.
Ezekieli 12:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Neno la BWANA likanijia tena, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema - BHND Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Neno: Bibilia Takatifu Neno la Mwenyezi Mungu likanijia kusema: Neno: Maandiko Matakatifu Neno la bwana likanijia kusema: BIBLIA KISWAHILI Neno la BWANA likanijia tena, kusema, |
Akasema, Itwae mishale; akaitwaa. Akamwambia mfalme wa Israeli, Piga chini; akaipiga nchi mara tatu, akaacha.
Mwanadamu, wewe unakaa kati ya nyumba iliyoasi, watu ambao wana macho ya kuona, ila hawaoni, wana masikio ya kusikia, ila hawasikii; kwa maana ni nyumba iliyoasi.
Maana mimi ni BWANA; mimi nitanena, na neno lile nitakalolinena litatimizwa; wala halitakawilishwa tena; maana katika siku zenu, Ewe nyumba iliyoasi, nitalinena neno hilo na kulitimiza, asema Bwana MUNGU.
Mwanadamu, nyumba ya Israeli, je! Nyumba ile iliyoasi, hawakukuambia, Unafanya nini wewe?