Ezekieli 11:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo nikawaambia watu wa uhamisho habari ya mambo yote aliyonionesha BWANA. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo nikawaeleza wale waliokuwa uhamishoni mambo yote aliyonionesha Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Hapo nikawaeleza wale waliokuwa uhamishoni mambo yote aliyonionesha Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo nikawaeleza wale waliokuwa uhamishoni mambo yote aliyonionesha Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu nami nikawaeleza wale watu wa uhamisho kila kitu Mwenyezi Mungu alichokuwa amenionesha. Neno: Maandiko Matakatifu nami nikawaeleza wale watu wa uhamisho kila kitu bwana alichokuwa amenionyesha. BIBLIA KISWAHILI Ndipo nikawaambia watu wa uhamisho habari ya mambo yote aliyonionesha BWANA. |
Nawe utawaambia maneno yangu, iwe watasikia au hawataki kusikia; maana hao wanaasi sana.
Mwanadamu, nimekuweka kuwa mlinzi wa nyumba ya Israeli; basi, sikia neno hili litokalo katika kinywa changu, ukawape maonyo haya yatokayo kwangu.
Lakini hapo nitakaposema nawe, nitafumbua kinywa chako, nawe utawaambia, Bwana MUNGU asema hivi. Yeye asikiaye na asikie; naye akataaye na akatae; maana wao ni nyumba yenye kuasi.