ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.
Ezekieli 1:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yalipokwenda yalikwenda pande zote nne; hayakugeuka yalipokwenda. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yaliposogea yalikwenda upande wowote wa pande nne za dira ya dunia bila kugeuka. Biblia Habari Njema - BHND Yaliposogea yalikwenda upande wowote wa pande nne za dira ya dunia bila kugeuka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yaliposogea yalikwenda upande wowote wa pande nne za dira ya dunia bila kugeuka. Neno: Bibilia Takatifu Magurudumu yalipoenda, yalielekea upande mmoja wa pande nne walikoelekea wale viumbe; wale viumbe walipoenda, magurudumu hayakugeuka. Neno: Maandiko Matakatifu Yalipokwenda yalielekea upande wowote wa pande nne walipoelekea wale viumbe, magurudumu hayakuzunguka wakati viumbe vile vilipokwenda. BIBLIA KISWAHILI Yalipokwenda yalikwenda pande zote nne; hayakugeuka yalipokwenda. |
ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.
Nao walikwenda kuelekea mbele, kila mmoja wao; roho ilikotaka kwenda ndiko walikokwenda; hawakugeuka walipokwenda.
Nao walikuwa na mikono ya mwanadamu chini ya mabawa yao, pande zote nne; na wote wanne walikuwa na nyuso zao na mabawa yao hivi;
mabawa yao yaliungana, hili na hili; nao hawakugeuka walipokwenda, walikwenda kila mmoja kuelekea mbele.