Esta 9:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Amri yake Esta ikayathibitisha mambo hayo ya Purimu; ikaandikwa katika kitabu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Amri yake Esta ikathibitisha mambo hayo ya Purimu; ikaandikwa kitabuni. Biblia Habari Njema - BHND Amri yake Esta ikathibitisha mambo hayo ya Purimu; ikaandikwa kitabuni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Amri yake Esta ikathibitisha mambo hayo ya Purimu; ikaandikwa kitabuni. Neno: Bibilia Takatifu Amri ya Esta ilithibitisha taratibu hizi kuhusu Purimu, nayo ikaandikwa katika kumbukumbu. Neno: Maandiko Matakatifu Amri ya Esta ilithibitisha taratibu hizi kuhusu Purimu, nayo ikaandikwa katika kumbukumbu. Swahili Roehl Bible 1937 Amri ya Esteri iliyoyaagiza mambo ya hizo sikukuu za Purimu ikaandikwa katika kitabu. |
Hivyo wakaziita siku hizo Purimu, kwa jina la Puri. Basi, kwa ajili ya maneno yote ya barua hiyo, na kwa yale waliyoyaona wenyewe juu ya jambo hilo, na mambo yenyewe yaliyowapata,