Basi mfalme akamwambia Esta pale penye karamu ya divai, Dua yako ni nini? Nawe utapewa; na haja yako ni nini? Hata nusu ya ufalme utatimiziwa.
Esta 5:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Esta akajibu, na kusema, Dua yangu ni hii, na haja yangu ni hii, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Esta akamjibu, “Ombi langu ni hili: Biblia Habari Njema - BHND Esta akamjibu, “Ombi langu ni hili: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Esta akamjibu, “Ombi langu ni hili: Neno: Bibilia Takatifu Esta akajibu, “Haja yangu na ombi langu ni hili: Neno: Maandiko Matakatifu Esta akajibu, “Haja yangu na ombi langu ni hili: Swahili Roehl Bible 1937 Esteri akajibu akisema: Ninayoyaomba kwa kuyataka ni haya: |
Basi mfalme akamwambia Esta pale penye karamu ya divai, Dua yako ni nini? Nawe utapewa; na haja yako ni nini? Hata nusu ya ufalme utatimiziwa.
Ikiwa nimepata kibali machoni pa mfalme, na mfalme akiona vema kunipa niombalo, na kunitimizia haja yangu, na aje tena mfalme na Hamani kwenye karamu nitakayowaandalia, nami kesho nitafanya kama vile mfalme alivyosema.