Danieli 5:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo kile kiganja cha ule mkono kikaletwa kutoka mbele zake, na maandiko haya yameandikwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Mungu ametuma mkono uandike maandishi haya. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Mungu ametuma mkono uandike maandishi haya. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Mungu ametuma mkono uandike maandishi haya. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo ameutuma mkono ule ulioandika maneno. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo ameutuma mkono ule ulioandika maneno. Swahili Roehl Bible 1937 Kwa hiyo ukatumwa naye huo mgongo wa mkono na haya maandiko yaliyoandikwa hapa. |
Saa iyo hiyo vikatokea vidole vya mkono wa mwanadamu, vikaandika katika chokaa ya ukuta wa nyumba ya enzi ya mfalme, mahali palipokielekea kinara; naye mfalme akakiona kiganja cha ule mkono ulioandika.