Amosi 5:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini hukumu na iteremke kama maji, na haki kama maji makuu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini acheni haki itiririke kama maji, uadilifu uwe kama mto usiokauka. Biblia Habari Njema - BHND Lakini acheni haki itiririke kama maji, uadilifu uwe kama mto usiokauka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini acheni haki itiririke kama maji, uadilifu uwe kama mto usiokauka. Neno: Bibilia Takatifu Lakini acheni haki itiririke kama mto, na uadilifu uwe kama kijito kisichokauka! Neno: Maandiko Matakatifu Lakini acheni haki itiririke kama mto, na uadilifu uwe kama kijito kisichokauka! BIBLIA KISWAHILI Lakini hukumu na iteremke kama maji, na haki kama maji makuu. |
Laiti ungalisikiliza amri zangu! Ndipo amani yako ingalikuwa kama mto wa maji, na haki yako kama mawimbi ya bahari;
BWANA asema hivi, Fanyeni hukumu na haki, mkamtoe yeye aliyetekwa katika mikono ya mdhalimu; wala msiwatende mabaya mgeni, wala yatima, wala mjane, wala kuwadhulumu, wala msimwage damu ya mtu asiye na hatia katika mahali hapa.
Bwana MUNGU asema hivi; Na iwatoshe ninyi, enyi wakuu wa Israeli; ondoeni dhuluma na unyang'anyi; fanyeni hukumu na haki; acheni kutoza kwenu kwa nguvu katika watu wangu, asema Bwana MUNGU.
Ee mwanadamu, yeye amekuonesha yaliyo mema; na BWANA anataka nini kwako, ila kutenda haki, na kupenda rehema, na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako!