Amosi 2:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC
Wala apindaye upinde hatasimama; Wala aliye mwepesi wa miguu hataokoka; Wala apandaye farasi hatajiokoa nafsi yake;
Tazama sura
Matoleo zaidi
Wapiga upinde vitani hawatastahimili; wapiga mbio hodari hawataweza kujiokoa, wala wapandafarasi hawatayanusurisha maisha yao.

Mpiga upinde atakimbia, askari wapiga mbio hawataweza kutoroka, na mpanda farasi hataokoa maisha yake.
Tazama sura
Mpiga upinde atakimbia, askari wapiga mbio hawataweza kutoroka, na mpanda farasi hataokoa maisha yake.
Tazama sura
Wala apindaye upinde hatasimama; Wala aliye mwepesi wa miguu hataokoka; Wala apandaye farasi hatajiokoa nafsi yake;
Tazama sura
Tafsiri zingine