2 Wakorintho 7:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nafurahi, kwa sababu katika kila neno nina moyo mkuu kwa ajili yenu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nafurahi sana kwamba naweza kuwategemea nyinyi kabisa katika kila jambo. Biblia Habari Njema - BHND Nafurahi sana kwamba naweza kuwategemea nyinyi kabisa katika kila jambo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nafurahi sana kwamba naweza kuwategemea nyinyi kabisa katika kila jambo. Neno: Bibilia Takatifu Nafurahi kwamba ninaweza kuwatumaini ninyi kabisa. Neno: Maandiko Matakatifu Nafurahi kwamba ninaweza kuwatumaini ninyi kabisa. BIBLIA KISWAHILI Nafurahi, kwa sababu katika kila neno nina moyo mkuu kwa ajili yenu. |
Nami niliwaandikia neno lilo hilo, ili nijapo nisitiwe huzuni na wale ambao ilinipasa kuwafurahia; nikiwatumaini ninyi nyote kwamba furaha yangu ni yenu nyote pia.
Nasi tumemtumaini Bwana kwa mambo yenu, kwamba mnayafanya tulivyowaagiza na kwamba mtaendelea kuyafanya.
Kwa kuwa nakuamini kutii kwako ndiyo maana nimekuandikia, nikijua ya kuwa utafanya zaidi ya hayo nisemayo.