Naye katika mlima huu atauharibu utando uliowekwa juu ya watu wote, na utaji ule uliotandwa juu ya mataifa yote.
2 Wakorintho 3:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC ila hata leo, Torati ya Musa isomwapo, utaji huikalia mioyo yao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naam, mpaka hivi leo kila isomwapo sheria akili zao huwa zimefunikwa. Biblia Habari Njema - BHND Naam, mpaka hivi leo kila isomwapo sheria akili zao huwa zimefunikwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naam, mpaka hivi leo kila isomwapo sheria akili zao huwa zimefunikwa. Neno: Bibilia Takatifu Hata leo Torati ya Musa inaposomwa, utaji hufunika mioyo yao. Neno: Maandiko Matakatifu Hata leo Torati ya Musa inaposomwa, utaji hufunika mioyo yao. BIBLIA KISWAHILI ila hata leo, Torati ya Musa isomwapo, utaji huikalia mioyo yao. |
Naye katika mlima huu atauharibu utando uliowekwa juu ya watu wote, na utaji ule uliotandwa juu ya mataifa yote.
ila fikira zao zilitiwa uzito. Kwa maana hata leo hivi, wakati lisomwapo Agano la Kale, utaji uo huo wakaa; yaani, haikufunuliwa kwamba huondolewa katika Kristo;